NEXT LEVEL (CG)β„’πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸŒ (@iamclausgeorge)

NEXT LEVEL (CG)β„’πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸŒ

@iamclausgeorge

Proudly Tanzanian || Thinker || Lifestyle Coacher || Mentor Link to my Bio Download Free E-Book "Tanzania Mpya"

  • 2,437 Posts

  • 2,550 Followers

  • 480 Following

TAKE NO FOR AN ANSWER : WHAT WILL YOU TAKE NO TODAY?

GOOD MORNING TO ALL OF YOU!

NEXT LEVEL (CG)β„’πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸŒ (@iamclausgeorge)


TAKE NO FOR AN ANSWER : WHAT WILL YOU TAKE NO TODAY? GOOD MORNING TO ALL OF YOU!

Wewe ni mfano wa kuigwa
Mwanaharakati, Askari na Shujaa Wa Mafanikio.

Unapoamini Katika Jambo Fulani, You don't take no for an answer, You will to anything to find a way to make it happen.

Na ninachopenda zaidi katika wewe ni mnyekekevu na mpole, muungwana mtu usiye na majivuno. 
Hunifurahisha zaidi vile unavyojiamini, ukifanya kazi kwa bidii kuishi ndoto zako na kufanya kila linalowezekana kuzitimiza.

Unampenda sana Mungu na hili linaonekana wazi unapokuwa tayari kila siku kuwasaidia wengine hasa mabinti ambao hawana dira katika maisha yao.

You are my true Inspiration and I'm happy that you are part of my team #jlichampionteam. HAPPY BIRTHDAY TO YOU MISS IRENE ENOCK  @iryn_e 
@messiahs_products @siahernest @brunokinyaga @glorypoetry @bonnynicolas @isayamwenga @vickyshilla_makeup @victoria.mwanziva @belle_25412 @kasyamatyne @iamclausgeorge

NEXT LEVEL (CG)β„’πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸŒ (@iamclausgeorge)


Wewe ni mfano wa kuigwa Mwanaharakati, Askari na Shujaa Wa Mafanikio. Unapoamini Katika Jambo Fulani, You don't take no for an answer, You will to anything to find a way to make it happen. Na ninachopenda zaidi katika wewe ni mnyekekevu na mpole, muungwana mtu usiye na majivuno. Hunifurahisha zaidi vile unavyojiamini, ukifanya kazi kwa bidii kuishi ndoto zako na kufanya kila linalowezekana kuzitimiza. Unampenda sana Mungu na hili linaonekana wazi unapokuwa tayari kila siku kuwasaidia wengine hasa mabinti ambao hawana dira katika maisha yao. You are my true Inspiration and I'm happy that you are part of my team #jlichampionteam. HAPPY BIRTHDAY TO YOU MISS IRENE ENOCK @iryn_e @messiahs_products @siahernest @brunokinyaga @glorypoetry @bonnynicolas @isayamwenga @vickyshilla_makeup @victoria.mwanziva @belle_25412 @kasyamatyne @iamclausgeorge

If you don't agree our school systems sucks and it's one of the biggest problem today, why Elon Mask has created his own school to educate his children by himself ?

And this what I was talking about one school teach students with different aptitudes by the same method and expect to excel at their potentials. 
Probably, this is the reason why the dropouts like Steve Jobs and Zurk and the like changed the world.

Do you know Elon Mask educate to code by himself? 
Our schools is not bad but the teaching methodology sucks, Schools kill talents, potentials and creativity our children and the most west their time. 
Think twice! Think NEXTLEVEL 😜

NEXT LEVEL (CG)β„’πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸŒ (@iamclausgeorge)


If you don't agree our school systems sucks and it's one of the biggest problem today, why Elon Mask has created his own school to educate his children by himself ? And this what I was talking about one school teach students with different aptitudes by the same method and expect to excel at their potentials. Probably, this is the reason why the dropouts like Steve Jobs and Zurk and the like changed the world. Do you know Elon Mask educate to code by himself? Our schools is not bad but the teaching methodology sucks, Schools kill talents, potentials and creativity our children and the most west their time. Think twice! Think NEXTLEVEL 😜

Pale unatapombua wewe ni nani? Na nguvu ulionayo ndani yako ya kuwa ni kubwa mmo kuliko nguvu zote zilizoko nje ndio mwanzo wa kuanza kutembea katika mamlaka na viwango vya juu. Ungana nami katika darasa langu jipya, "NEXTLEVEL Mentorship" Litakaloanza hivi karibuni. Wewe sio mtu wa kawaida, wewe ni mtu wa tofauti sana na Daudi anasema katika zaburi na tazama mwanadamu alivyoubwa kwa jinsi ya ajabu na kutisha.

Let's go, Let's connect and push it to the NEXTLEVEL πŸ”₯ πŸ’ͺ "Asante yako kwa Mungu ni kuishi vile uliubwa uishi na hili ndio kusudi la uwepo wako hapa duniani"

Kataa kuishi nje YA KUSUDI LAKO

Let's STEP INTO GREATNESS TODAY πŸ˜œπŸ€—

NEXT LEVEL (CG)β„’πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸŒ (@iamclausgeorge)


Pale unatapombua wewe ni nani? Na nguvu ulionayo ndani yako ya kuwa ni kubwa mmo kuliko nguvu zote zilizoko nje ndio mwanzo wa kuanza kutembea katika mamlaka na viwango vya juu. Ungana nami katika darasa langu jipya, "NEXTLEVEL Mentorship" Litakaloanza hivi karibuni. Wewe sio mtu wa kawaida, wewe ni mtu wa tofauti sana na Daudi anasema katika zaburi na tazama mwanadamu alivyoubwa kwa jinsi ya ajabu na kutisha. Let's go, Let's connect and push it to the NEXTLEVEL πŸ”₯ πŸ’ͺ "Asante yako kwa Mungu ni kuishi vile uliubwa uishi na hili ndio kusudi la uwepo wako hapa duniani" Kataa kuishi nje YA KUSUDI LAKO Let's STEP INTO GREATNESS TODAY πŸ˜œπŸ€—

PART 02 STEP INTO GREATNESSπŸ’ͺ

Kama ungeweza kujua uwezo wako toka ndani yako ulivyo mkubwa kuliko ule wa nje kamwe usingemlau mtu yeyote au kutoa sababu yoyote kwa kutokufanikiwa kwako ila ungeamua kuwajibika kwa kila hali na mara zote.  It's your time to step into Greatness and do the impossible, Stop to play small and Play big 😜πŸ’ͺ

NEXT LEVEL (CG)β„’πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸŒ (@iamclausgeorge)


PART 02 STEP INTO GREATNESSπŸ’ͺ Kama ungeweza kujua uwezo wako toka ndani yako ulivyo mkubwa kuliko ule wa nje kamwe usingemlau mtu yeyote au kutoa sababu yoyote kwa kutokufanikiwa kwako ila ungeamua kuwajibika kwa kila hali na mara zote. It's your time to step into Greatness and do the impossible, Stop to play small and Play big 😜πŸ’ͺ

This boy is on fireeeeeeeeeeeeeeeeee, He chose to dream big
He chose to follow his dreams where ever it may take him,

This boy is on fireeeeeeeeeeeeeeeeee, He chose to be unstoppable, He chose to do whatever it takes to make his dreams come true, 
This boy is on fireeeeeeeeeeeeeeeeee, He chose to believe in himself, refused to be limited with what lied outside but believe in his inner aptitude, to create circumstances rule his own game,

This boy is on fireeeeeeeeeeeeeeeeee, He chose to be different and channel a different path one which is unknown, the one has never channeled by anyone who lived before him.

This boy is on fireeeeeeeeeeeeeeeeee, he chose to be fearless, he's going on top of the world, This boy chose to inspire others, this boy will flip the world just like a gambler flip the coin.

This boy is on fireeeeeeeeeeeeeeeeee, he chose to grind, he chose to hustle and yet be humble down to his dreams and purpose,
This boy will never settle until he fulfill his purpose and his purpose is to inspire others to live their dreams today and discover their life purpose,

This boy is on fireeeeeeeeeeeeeeeeee, He chose positivity, His imagination is fire, it can melt mountains, challenge and obstacle will not stop his fire.
This boy speaks wisdom, His words gives hope to the oppressed and disappointed that they can live their dreams again.

This boy is on fireeeeeeeeeeeeeeeeee, he move so fast with Godspeed, too fast like Bombardier jet.

This boy is on fireeeeeeeeeeeeeeeeee and don't play with the fire or it will burn you. This boy calls you, better follow him that you also become the fire because they said, "Engles fly with Engles." Are you the one ? Follow me and I will show you the secrets to Greatness, I will change your mind and transform your life, I will tell you the greatest secret of yours which stay inside  you, the one you haven't known before, I will help you to discover yourself, I will tell you who you are? I will show you a purpose, I will show you what's like to live fearless, take risks and get yourself aligned with God's plan for your life and purpose.

This boy is on fireeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee.πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯ CW: Claus George (CG)™

NEXT LEVEL (CG)β„’πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸŒ (@iamclausgeorge)


This boy is on fireeeeeeeeeeeeeeeeee, He chose to dream big He chose to follow his dreams where ever it may take him, This boy is on fireeeeeeeeeeeeeeeeee, He chose to be unstoppable, He chose to do whatever it takes to make his dreams come true, This boy is on fireeeeeeeeeeeeeeeeee, He chose to believe in himself, refused to be limited with what lied outside but believe in his inner aptitude, to create circumstances rule his own game, This boy is on fireeeeeeeeeeeeeeeeee, He chose to be different and channel a different path one which is unknown, the one has never channeled by anyone who lived before him. This boy is on fireeeeeeeeeeeeeeeeee, he chose to be fearless, he's going on top of the world, This boy chose to inspire others, this boy will flip the world just like a gambler flip the coin. This boy is on fireeeeeeeeeeeeeeeeee, he chose to grind, he chose to hustle and yet be humble down to his dreams and purpose, This boy will never settle until he fulfill his purpose and his purpose is to inspire others to live their dreams today and discover their life purpose, This boy is on fireeeeeeeeeeeeeeeeee, He chose positivity, His imagination is fire, it can melt mountains, challenge and obstacle will not stop his fire. This boy speaks wisdom, His words gives hope to the oppressed and disappointed that they can live their dreams again. This boy is on fireeeeeeeeeeeeeeeeee, he move so fast with Godspeed, too fast like Bombardier jet. This boy is on fireeeeeeeeeeeeeeeeee and don't play with the fire or it will burn you. This boy calls you, better follow him that you also become the fire because they said, "Engles fly with Engles." Are you the one ? Follow me and I will show you the secrets to Greatness, I will change your mind and transform your life, I will tell you the greatest secret of yours which stay inside you, the one you haven't known before, I will help you to discover yourself, I will tell you who you are? I will show you a purpose, I will show you what's like to live fearless, take risks and get yourself aligned with God's plan for your life and purpose. This boy is on fireeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee.πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯ CW: Claus George (CG)β„’

PART 01 STEP INTO GREATNESSπŸ’ͺ

Kama ungeweza kujua uwezo wako toka ndani yako ulivyo mkubwa kuliko ule wa nje kamwe usingemlau mtu yeyote au kutoa sababu yoyote kwa kutokufanikiwa kwako ila ungeamua kuwajibika kwa kila hali na mara zote.  It's your time to step into Greatness and do the impossible, Stop to play small and Play big 😜πŸ’ͺ

NEXT LEVEL (CG)β„’πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸŒ (@iamclausgeorge)


PART 01 STEP INTO GREATNESSπŸ’ͺ Kama ungeweza kujua uwezo wako toka ndani yako ulivyo mkubwa kuliko ule wa nje kamwe usingemlau mtu yeyote au kutoa sababu yoyote kwa kutokufanikiwa kwako ila ungeamua kuwajibika kwa kila hali na mara zote. It's your time to step into Greatness and do the impossible, Stop to play small and Play big 😜πŸ’ͺ

START TO EXECUTE NOW!

Mark Zuck Katika Moja ya Speech zake aliwahi kusema, "ideas they don't come fully formed but half the secret is to get started"

Mara nyingi tumezoe kusema aisee nina bonge moja la idea alafu tunaishia kutokufanya kitu na moja ya sababu huwa tunafikiri kuanza jambo lazima huwe na kitu kikubwa lakini ukweli ni kwamba hauitaji kuwa na kikubwa ili kuanza kufanya jambo. Anza chini, anza hapo ulipo, anza na ulichonacho leo. Kama hautaweza kuanzia hapo ulipo fahamu kwamba utakuwa umeshindwa kuishi ndoto zako leo na jambo ambalo watu wengi hawafahamu kuna mambo amabayo haukuyaanza miaka 5 iliyopita kwa sababu za aina hiyo hiyo na kama ungeweza kuanza kuyafanya siku zile leo hii usingekuwa hapo ulipo, ungekuwa mbali sana. Lakini siri ni moja tu na kuanza leo, anza sasa na uishi ndoto zako leo kwani maisha ni mafupi sana, muda hautoshi na wanzungu wanasema "we only live once"

DREAM BIGGER THAN YOURSELF

Wengi tunaogopa kuota ndoto kubwa lakini ukweli ni kwamba haikugharimu chochote kuota ndoto kubwa kama mtoto na siri ya kuota ndoto kubwa ni hii ndoto kubwa hukubadilisha kabisa kuanzia unavyovaa, unavyofikiri, unanyoongea mpaka na unavyofanya. Ndoto kubwa zitakufanya ujikute unakwenda mahali ambako usingeweza kufika kama usingeota makubwa, ndoto kubwa zitakupa marafiki watofauti kabisa na mtu mwenye ndoto ndogo. Ndoto kubwa zitabadilisha maisha yako na kufanya ufanye ambayo usingeweza fanya. Anza leo ota ndoto kubwa tu.

DREAM EVERY DAY, DREAM ALWAYS

Wanasema mtu huwa vile anafikiri. Unapohamua kuota ndoto zako kila siku ndio vile itakavyokuwa rahisi kuzifikia. Hamua leo huamkapo kufikiri ndoto zako na hata ulalapo pia. Upohamua kuota ndoto zako kila wakati ndivyo utakavyopata mawazo mazuri jinsi ya kuzifikia kwa haraka zaidi na namna nyingine ya kukabliliana na makwazo. Kataa kufiri jambo lolote kinyume na ndoto zako, ota ndoto zako kila wakati, Fikiri kuhusu ndoto zako tu.

CW: Claus George (CG)™

NEXT LEVEL (CG)β„’πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸŒ (@iamclausgeorge)


START TO EXECUTE NOW! Mark Zuck Katika Moja ya Speech zake aliwahi kusema, "ideas they don't come fully formed but half the secret is to get started" Mara nyingi tumezoe kusema aisee nina bonge moja la idea alafu tunaishia kutokufanya kitu na moja ya sababu huwa tunafikiri kuanza jambo lazima huwe na kitu kikubwa lakini ukweli ni kwamba hauitaji kuwa na kikubwa ili kuanza kufanya jambo. Anza chini, anza hapo ulipo, anza na ulichonacho leo. Kama hautaweza kuanzia hapo ulipo fahamu kwamba utakuwa umeshindwa kuishi ndoto zako leo na jambo ambalo watu wengi hawafahamu kuna mambo amabayo haukuyaanza miaka 5 iliyopita kwa sababu za aina hiyo hiyo na kama ungeweza kuanza kuyafanya siku zile leo hii usingekuwa hapo ulipo, ungekuwa mbali sana. Lakini siri ni moja tu na kuanza leo, anza sasa na uishi ndoto zako leo kwani maisha ni mafupi sana, muda hautoshi na wanzungu wanasema "we only live once" DREAM BIGGER THAN YOURSELF Wengi tunaogopa kuota ndoto kubwa lakini ukweli ni kwamba haikugharimu chochote kuota ndoto kubwa kama mtoto na siri ya kuota ndoto kubwa ni hii ndoto kubwa hukubadilisha kabisa kuanzia unavyovaa, unavyofikiri, unanyoongea mpaka na unavyofanya. Ndoto kubwa zitakufanya ujikute unakwenda mahali ambako usingeweza kufika kama usingeota makubwa, ndoto kubwa zitakupa marafiki watofauti kabisa na mtu mwenye ndoto ndogo. Ndoto kubwa zitabadilisha maisha yako na kufanya ufanye ambayo usingeweza fanya. Anza leo ota ndoto kubwa tu. DREAM EVERY DAY, DREAM ALWAYS Wanasema mtu huwa vile anafikiri. Unapohamua kuota ndoto zako kila siku ndio vile itakavyokuwa rahisi kuzifikia. Hamua leo huamkapo kufikiri ndoto zako na hata ulalapo pia. Upohamua kuota ndoto zako kila wakati ndivyo utakavyopata mawazo mazuri jinsi ya kuzifikia kwa haraka zaidi na namna nyingine ya kukabliliana na makwazo. Kataa kufiri jambo lolote kinyume na ndoto zako, ota ndoto zako kila wakati, Fikiri kuhusu ndoto zako tu. CW: Claus George (CG)β„’

JISHINDIE KITABU HIKI BUREEE! DAY 017

Kitabu hiki tayari kimeshawasaidia vijana wengi wa kitanzania ambao wamekuwa wakitamani kutimiza ndoto zao na mmoja wao ni kijana anayeitwa Mark Malekela @iam_markmalekela, kijana huyu tayari ameshaweza kuandika kitabu chake pia kupitia kitabu hiki kilichoandikwa na kijana wa kitanzania ambaye naye hapo awali hakujua kama ana uwezo wa kuandika vitabu mpaka alipoamini na kuanza kufanyia kazi anacho kiamini kijana huyu si mwingine ila ni Claus George mwenye ndoto za kuwasaidia mamiliomi ya vijana kitanzania na kiafrika kutimiza ndoto zao kupitia kazi za uandishi wake wa vitabu na umahiri wake wa kutumia teknologia ya mtantao kuwafikia vijana wengi zaidi duniani kote. 
Claus ametamani kugusa zaidi maisha ya vijana wengine hasa wasiokuwa na uwezo wa kununua kitabu chake kwa thamni ya shilingi elfu 20 za kitanzania (20,000 Tshs). Sasa amehamua kutoa vitabu 100 vyenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 2 za kitanzania (2,000, 000 Tshs) pamoja na bangili za mkono zilizoandikwa maneno yanayosomeka, "I SAID YES TO MY DEAMS" and "JUST LIVE IT A PURPOSE DREAM"

Unawezaje? Kushinda Kitabu Cha "JUST LIVE IT" kama wengi wanavyokijua, unachotakiwa kufanya ni kuzingatia maelekezo haya madogo na rahisi sana.

1. Fuata ukurasa huu @iamclausgeorge 
2. Piga picha ya kitabu kwa simu yako

3. Washirikishe angalau rafiki zako 10 na Uhakikishe mmoja wa hao rafiki anafuata ukurasa huu @iamclausgeorge 
4. Mtumie hiyo picha Claus George kupitia ukurasa wake @iamclausgeorge (tag Claus) na utakapokuwa wa kwanza kufanya hivyo utakuwa umejishindia kitabu hicho cha Just Live It -12 Secrets of Championship.

#shindakitabunaclausgeorge

NEXT LEVEL (CG)β„’πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸŒ (@iamclausgeorge)


JISHINDIE KITABU HIKI BUREEE! DAY 017 Kitabu hiki tayari kimeshawasaidia vijana wengi wa kitanzania ambao wamekuwa wakitamani kutimiza ndoto zao na mmoja wao ni kijana anayeitwa Mark Malekela @iam_markmalekela, kijana huyu tayari ameshaweza kuandika kitabu chake pia kupitia kitabu hiki kilichoandikwa na kijana wa kitanzania ambaye naye hapo awali hakujua kama ana uwezo wa kuandika vitabu mpaka alipoamini na kuanza kufanyia kazi anacho kiamini kijana huyu si mwingine ila ni Claus George mwenye ndoto za kuwasaidia mamiliomi ya vijana kitanzania na kiafrika kutimiza ndoto zao kupitia kazi za uandishi wake wa vitabu na umahiri wake wa kutumia teknologia ya mtantao kuwafikia vijana wengi zaidi duniani kote. Claus ametamani kugusa zaidi maisha ya vijana wengine hasa wasiokuwa na uwezo wa kununua kitabu chake kwa thamni ya shilingi elfu 20 za kitanzania (20,000 Tshs). Sasa amehamua kutoa vitabu 100 vyenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 2 za kitanzania (2,000, 000 Tshs) pamoja na bangili za mkono zilizoandikwa maneno yanayosomeka, "I SAID YES TO MY DEAMS" and "JUST LIVE IT A PURPOSE DREAM" Unawezaje? Kushinda Kitabu Cha "JUST LIVE IT" kama wengi wanavyokijua, unachotakiwa kufanya ni kuzingatia maelekezo haya madogo na rahisi sana. 1. Fuata ukurasa huu @iamclausgeorge 2. Piga picha ya kitabu kwa simu yako 3. Washirikishe angalau rafiki zako 10 na Uhakikishe mmoja wa hao rafiki anafuata ukurasa huu @iamclausgeorge 4. Mtumie hiyo picha Claus George kupitia ukurasa wake @iamclausgeorge (tag Claus) na utakapokuwa wa kwanza kufanya hivyo utakuwa umejishindia kitabu hicho cha Just Live It -12 Secrets of Championship. #shindakitabunaclausgeorge

Part II : CAN YOU DEFINE THAT ONE? WHICH MAKES YOU GO HIGH AND YOU FEEL LIKE YOU ARE NOT GOING TO STOP? AND THAT THING IS MOSTLY ATTACHED TO YOUR LIFE PURPOSE IF YOU FIND IT DON'T STOP BUT PUSH IT TO YOUR LAST BREATH.

NEXT LEVEL (CG)β„’πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸŒ (@iamclausgeorge)


Part II : CAN YOU DEFINE THAT ONE? WHICH MAKES YOU GO HIGH AND YOU FEEL LIKE YOU ARE NOT GOING TO STOP? AND THAT THING IS MOSTLY ATTACHED TO YOUR LIFE PURPOSE IF YOU FIND IT DON'T STOP BUT PUSH IT TO YOUR LAST BREATH.

We are living in the most exciting time which has never been before since the beginning of the world.

The technology we are using is like a knife, if we use it right it help quickly cut through the edges of success but if we use it wrong it cut  us and left us the victims of it.

Technology have spoken to those whose voice have not being heard, it has given the power to very ordinary people to run the world and it has simply life and easy communication yet the same technology have taken works of people, made organization and corporate bankruptcy and cause alot of addiction and chaos. It has separate our true interaction and cause many people to live lonely, depressed and abandoned. 
Watch out on how you use this awesome knife of our time.

NEXT LEVEL (CG)β„’πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸŒ (@iamclausgeorge)


We are living in the most exciting time which has never been before since the beginning of the world. The technology we are using is like a knife, if we use it right it help quickly cut through the edges of success but if we use it wrong it cut us and left us the victims of it. Technology have spoken to those whose voice have not being heard, it has given the power to very ordinary people to run the world and it has simply life and easy communication yet the same technology have taken works of people, made organization and corporate bankruptcy and cause alot of addiction and chaos. It has separate our true interaction and cause many people to live lonely, depressed and abandoned. Watch out on how you use this awesome knife of our time.

Part One: Mr. Cowboy From Texas Dar Es Salaam Tanzania πŸ˜œπŸ˜‚πŸ’ͺ

NEXT LEVEL (CG)β„’πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸŒ (@iamclausgeorge)


Part One: Mr. Cowboy From Texas Dar Es Salaam Tanzania πŸ˜œπŸ˜‚πŸ’ͺ

Everytime when you dream big, you move yourself closer and more closer to your dream. It excite you and help you to take actions. And there no way you can give up, if you are excited because dream big gives the subconscious mind the power to see all the possibilities in all situations.

NEXT LEVEL (CG)β„’πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸŒ (@iamclausgeorge)


Everytime when you dream big, you move yourself closer and more closer to your dream. It excite you and help you to take actions. And there no way you can give up, if you are excited because dream big gives the subconscious mind the power to see all the possibilities in all situations.